LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2015

KINANA APIGA KAMPENI YA NGUVU VISIWA NANSIO UKEREWE




 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye visiwa vya Nansio Ukerewe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nansio kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye visiwa vya Nansio Ukerewe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nansio waliojitokeza kwa wingi kwenye eneo la mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli,Ukerewe.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages