Tuesday, October 6, 2015

KANYAGA TWENDE YA KAMPENI ZA MAMA SAMIA MKOANI KIGOMA

 Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, ukiwa umezuaiwa na wananchi katika Eneo la Igagala mkoani Tabora alipokuwa akitoka, mkoani humo kuingia mkoani Kigoma leo.
 Wananchi wakiulaki katika enei la Nguruka, msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, wakati ulipofika karika eneo hilo ukiwa njiani kweda Kigoma
 Baadhi ya magari katika msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, ukipita kwenye Daraja la mto Malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma,  Daraja hilo ni miongoni mwa mambo yaliyofanywa na CCM katika awamu ya Rais Jakaya Kikwete ili kufungua milango ya mkoa wa Kigoma na mikoa mingine jirani
 Wananchi wakienda kwenye Mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika katika eneo la Uvinza mkoani Kigoma
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika mji mdogo wa Uvinza wilayani Uvinza mkoani Kigoma
 Baadhi ya vijana zaidi ya 30 waliokuwa wafuasi wa Chadema, wakishangilia baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Uvinza mkoani Kigoma
  Baadhi ya vijana zaidi ya 30 waliokuwa wafuasi wa Chadema, wakishangilia huku wamembeba mwenzao, baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Uvinza mkoani Kigoma
 Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Kaskazini, Husna Mwilima, akizungumza na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Uvinza mkoani Kigoma
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana  na Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Vijijini, Peter Serukamba, alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Mwandiga mkoani Kigoma
 Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Mwandiga mkoani Kigoma.
 Maofisa walioko katika msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiperuzi mtandao kwenye simu zao, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Mwandika mkoani Kigoma
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika Mwandiga mkoani Kigoma
 
 Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa mkutano wa Mama Samia uliofanyika Mwanga mkoani Kigoma
 Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mwanga mkoani Kigoma
 Mjumbea wa NEC, Kirumbea Ng'enda akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Mwanga mkoani Kigoma
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Mwanga mkoani Kigoma. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.