Friday, October 16, 2015

CHEKI PICHA KINANA ALIVYOFUNIKA TUNDUMA MJINI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akihutubia wakazi wa mji wa Tunduma kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma ambapo aliwaelezea wananchi hao kuwa mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ana uwezo mkubwa wa kuibadilisha Tanzania,kubadili mfumo wa chama na atakuwa na Baraza la Mawaziri dogo, atapunguza matumizi yasiyo ya lazima ya serikali lakini pia ataondoa kodi ndogo ndogo zinazowapa kero na kurahisisha njia za kufanya biashara kwa wananchi wa mipakani.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.