RAIS KIKWETE APATA TUZO YA BARAZA LA WAFANYABIASHARA LA WANA AFRIKA MASHARIKI WAISHIO MAREKANI NA NCHI NYINGINE

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas. (Picha na Freddy Maro).