Wednesday, September 9, 2015

MAMA SAMIA APENYA HADI KATIKA MAJIMBO YA NAMTUMBO NA TUNDURU MKOANI RUVUMA

 Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhus Hassan, akiwa umesimamishwa na wananchi katika eneo la Njenga, katika jimbo la Tunduru mkoani Ruvuma wakati ukiwa njiani kutoka Songea Mjini kwenda Nalasi jimbo la Tunduru Kusini mkoani Ruvuma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akizungumza na waanchi  baada ya Msafara wake kusimamishwa na wananchi katika eneo la Njenga, katika jimbo la Tunduru mkoani Ruvuma wakati ukiwa njiani kutoka Songea Mjini kwenda Nalasi jimbo la Tunduru Kusini mkoani Ruvuma leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samaia Suluhu Hassani akizungumza na kijana Lucas Luchinga, mwenye ulemavu aliyemkuta enoel la Njenga, Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma,leo.
 Mwananmke akimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu, alipohutubia wananchi waliosimamisha msafara wake katika kata ya Nalasi jimbo la Tunduru mkoani Ruvuma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika mkutano wa kampeni aliofanya eneo la Magazini, jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika mkutano wa kampeni aliofanya eneo la Magazini, jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika mkutano wa kampeni aliofanya eneo la Magazini, jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano wa kampeni aliofanya leo, eneo la Magazini, Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Nalasi jimbo la  Tunduru Kusini mkoani Ruvuma leo.
Mgombea Ubunge jimbo la Mbinga mjini, Sixtus Mapunda ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, akigutubia kwenye mkutano wa Mama Sania uliofanyika leo, eneo la Nalasi jimbo la  Tunduru Kusini mkoani Ruvuma leo. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.