Thursday, September 10, 2015

MAMA SAMIA AMUOMBEA KURA DK. MAGUFULI BAGAMOYO LEO

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo mkoa wa Pwani.
 Mgombea Ubunge jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa akiomba kura baada ya kutambulishwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Ikulu mjini Bagamyo.
Mjumbe wa NEC, Livingstone Lusinde akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo a Bagamoyo mkoa wa Pwani.
 Mjumbe wa NEC, Livingstone Lusinde akipongezwa na Mgombea Ubunge jimbo la Chalinze, Riziwani Kikwete baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCm Mama Samaia Suluhu Hassan uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani
 Mbunge wa Bagamoyo mkoani Pwani, Skuhuru Kawambwa akipasha na vijana wake, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyomkoa wa Pwani.
 Waingizaji wa filamu za Bongo Movie, wakiserebuka uwanjani wakati wa mkutano wa akampeni wa Mama Samia uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyomkoa wa Pwani
 Wananchi wakiwa na bango la kumfagilia Mma Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbola Bagamoyo mkoa wa Pwani
 Mwanamke wakiwa na bango la Mgombea URais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.