Friday, September 11, 2015

MAMA SAMIA AFANYA KWELI MIKUTANO YA KAMPENI KIBAHA NA KISARAWE MKOA WA PWANI LEO

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa watu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Mlandizi, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa watu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Mlandizi, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani.
 Vijana waliomsindikiza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia wakiingia uwanja wa mkutano kwa bodaboda, wakati wa mkutano  wa kampeni uliofanyika leo Mlandizi, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia baadhi ya viongozi baada ya kuwasili kuhutubia umati wa watu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Mlandizi, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani.
 Mgombea ubunge wa Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa, akiomba kura baada ya kutambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mlandizi katika jimbo hilo leo.
Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Nkenge, Asupta Mshama, akihutubia  katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mlandizi katika jimbola Kibaha Vijijini leo
Kina Mama wakimspongeza Mama Asupta Mshama baada ya kuhutubia mkutano huo wa kampeni leo.
 Mwananchi wakiwa na bango la kumfagilia Kina mama wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mlandizi katika jimbo hilo leo na uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika jimbo la Kibaha Vijijini leo
 Wananchi wakiwa na bango la kuwafagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani leo
 Umati wa wananchi ukiwa umefirika kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan leo katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimfurahia mtoto wa Mgombea Ubunge jimbo la Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa (kushoto), Yasser Hamoud wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
 Yasser akiandika jina lake kwenye notebook ya Mwandishi wa habari aliyempiga picha kwa ajili ya kuitumia kwenye Blog hii, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kibaha Vijijini leo. Anayeshuhudia ni baba wa Mtoto huyo ambaye ni mgombea wa ubunge katika jimbo hilo la Kibaha Vijijini
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo Mlandizi, jimbo la Kibaha Vijijini leo
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo Mlandizi, jimbo la Kibaha Vijijini leo
 Aliyekuwa Katibu wa Chadema, Kata ya Kilangalanga Kata ya Mlandizi wilayani Kibaha mkoa wa Pwani, Mohammed Mfaume akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan(Kushoto), uliofanyika leo katika jimbo la Kibaha Vijijini.
 Kijana Ally Rashidi akionysha Kadi yake ya CUF, wakati wakitangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akionyesha kadi ya CUF baada ya kukabidhiwa na aliyekuwa akimiliki kadi hiyo, Kiongozi wa Jamii ya wafugaji wa Kimasai, wa Ruvu Kisagi,  Mzee Said Mongae kumkabihi kadi hiyo baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Jimbo la Kibaha mjini leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia Hadija Abdallah mwenye ulemavu, baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya shule ya Msingi Amani, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoani Pwani.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya shule ya Msingi Amani, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoani Pwani.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia Pili Mohammed mwenye ulemavu, baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya shule ya Msingi Amani, katika jimbo la Kibaha Vijijini mkoani Pwani.
  Kinamama wa Kimasai wakimvalisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kibaha Vijijini leo
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akimsalimia mtoto Ramadhani Sadick baada ya kuwasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika kata ya Mzenga, jimbo la Kisarawe mkoa wa Pwani.
 Wananchi wakimshangilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu  baada ya kuwasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika kata ya Mzenga, jimbo la Kisarawe mkoa wa Pwani.
 Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Suleiman Jafo, akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani,wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mzenga katika jimbo hilo mkoani Pwani leo.
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama salia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mzenga katika jimbo hilo mkoani Pwani leo.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akimnadi Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Suleiman Jafo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mzenga katika jimbo hilo mkoani Pwani leo.
 Wagombea Udiwani katika jimbo la Kisarawe mkoa wa Pwani, wakitambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mzenga katika jimbo hilo mkoani Pwani leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akionyesha Ilani ya Uchaguzi ya CCMwakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mzenga katika jimbo hilo mkoani Pwani leo.
 Kinana mamawakimzawadia zawadi mbaimbali Mama Samia baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbola la Kisarawe mkoa wa Pwani
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kisarawe mkoa wa Pwani leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.