Tuesday, September 8, 2015

MAGUFULI KUIBORESHA BANDARI YA TANGA NA KUJENGA VIWANDA VYA SAMAKI NA MATUNDA


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Tangamano ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya Tanga, kujenga Viwanda vya matunda na samaki ili kuweza kupunguza tatizo kubwa la ajira.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tanga ambapo aliwaambia kuwa wakati wake wanafunzi hawatolipa ada ya masomo  mpaka kidato cha nne.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia


 Sehemu ya Umati wa wakazi wa Tanga.
 Uwanja wa Tangamano ukiwa umefurika kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia
 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia  ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Naibu Waziri wa Fedha na mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba  Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Tanga mjini kwenye mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano.
 Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Tanga mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tangamano.
Msanii Ali Kiba akiburudisha kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Tangamano.


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.