Wednesday, September 16, 2015

KIGOMA MJINI WASEMA MAGUFULI 100%

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma mjiji waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kawawa, Ujiji mkoani Kigoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma ambapo aliwaambia atajenga Tanzania mpya yenye uchumi wa Viwanda.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwenye mkutano wake mjini Kigoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wananchi wa Kigoma ambapo alizungumzia mipango ya kuboresha elimu, kujenga reli na kufungua milango kwa uwekezaji wa viwanda kwani vitapunguza tatizo la ajira.
 Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Kawawa ,Ujiji mkoani Kigoma.
 Zaidi ya Mafuriko

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaji Abdallah Bulembo akihutubia wakazi wa Kigoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika viwanja vya Kawawa, Ujiji mkoani hapo.
 Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Kigoma kwenye mkutano wa kampeni za CCM
 Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Taifa Mzee Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Kigoma ambapo aliwaambia wasidanganyike na wanasiasa wasiojua historia ya jambo.
 Msanii Joti akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli uliofanyika viwanja vya Kawawa, Ujiji mkoani Kigoma.
 Wasanii wa Ze Komedi wakionyesha uwezo wao wa kucheza kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kalinzi ,Kigoma Vijijini ambapo aliwaambia atawaangalia wananchi wa Kigoma kwa mtazamo wa hali ya juu ili kuwaletea maendeleo ya haraka.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Ndugu Peter Serukamba kabla ya kuwahutubia wananchi hao.

 Wananchi wa Uvinza wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Uvinza wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini.


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya waliojiunga na CCM kutokea vyaa vya upinzani.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi za wanachama kutoka vyma vya upinzani walioamua kujiunga na CCM ambapo zaidi ya wanachama 780 walijiunga na CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma Kusini Hasna Mwilima.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakaiz wa Nguruka

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.