Friday, August 28, 2015

MAGUFULI AUNGURUMA MBEYA MJINI

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mikutano wa Rwanda Nzovwe, Mbeya.Wananchi wa Mbeya mjini wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambao mgombea wa Urais

 Mtiti wa wakazi wa Mbeya kwenye mkutano wa CCM ambao mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM DK. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia anagombea Urais ili aweze kuwatumikia Watanzania na kusogeza maendeleo mbele kwa kasi kubwa.
 Nyomi la wakazi wa Mbeya mjini waliojitokeza kumsikiliza Dk. John Pombe Magufuli.
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. William Lukuvi akihutubia wakazi wa Mbeya mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.
Kada wa CCM Dk. Kasesela akihutubia wakazi wa Mbeya kwenyye mkutano wa hadhara ambao aliwaambia wasihadaike na maneno ya wapinzani kwani wao wamezoea kusema wakisemwa wao ndio wameonewa.
Shilole akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM mkoani Mbeya.
Matonya akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM ,mkoani Mbeya.
Msami akionyesha love kwa CCM mkoani Mbeya.
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, akihutubia wakazi wa Mbeya Mjini ambapo aliwaambia yupo tayari kuitetea nchi hii dhidi ya mafisadi.

Mbunge wa viti maalum (ccm) mkoa wa Mbeya, Dk.Mary Mwanjelwa akihutubia wakazi wa mji wa Mbeya kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya  Rwanda Nzovwe.
Shetta katika ubora wake kwenye mkutano wa CCM Mbeya.

Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiondoka uwanjani mara baada ya kumaliza kuhutubia.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiondoka uwanjani huku akiwa amewabeba watoto wawili kwenye gari lake na kupungia mkono wananchi ambao walionyesha kuhakikisha anashinda uchaguzi.


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale.
Umati wa wakazi wa Kyela wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi akisalimia wakazi wa Kyela.
 Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.


 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tukuyu Sahul Amon akihutubia wakazi wa Rungwe waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa Kampeni ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Busokelo Kwere Fredy Mwakibete akiwaga sera zake kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.