MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM YAKAMILIKA JANGWANI Chama Cha Mapinduzi kinazindua rasmi kampeni zake leo kwenye viwanja vya Jangwani ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan atakabidhiwa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 - 2020.


 Maandalizi ya mwisho wa Jukwaa la kuhutubia.