Wednesday, July 22, 2015

SAFARI YA MAGUFULI KUTOKA CHATO KUREJEA DODOMA KWA GARI YAWAVUTIA WANANCHI WENGI


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Magufuli akiwasalimu wakazi wa kaya ya Masumbe wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakati akiwa njiani kurejea Dodoma.
 Wananchi wa Kahama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ambaye alipita kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Dodoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili nje ya ofisi za CCM Kahama na kupata mapokezi makubwa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Kahama waliojitokeza kwa wingi nje ya ofisi ya CCM Kahama mkoani Shinyanga.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi waliojitokeza kumpokea nje ya ofisi za CCM Nzega.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Hussein Bashe nje ya ofisi ya CCM Nzega mkoani Tabora
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuliakisaini vitabu vya wageni kabla ya kuwasalimu wakazi wa Nzega.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akitoa salaam za utangulizi kabla ya kumkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufulikuwasalimu wakazi wa Nzega.
 Wananchi wa Nzega wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala
 Hussein Bashe amabaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini akisalimia wakazi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsalimu Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja wakati wa kuwasalimia wananchi wa Nzega.
 Mama Janet Magufuli akisalimia wakazi wa Nzega nje ya ofisi ya CCM wilaya.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Nzega kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilaya ambapo aliwaambia amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi kurudi tena wakati wa kampeni zitakapoanza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha wageni nje ya ofisi ya CCM Ushirombo wakati akirejea kutoka Chato kuelekea Dodoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Igunga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk Parseko V. Kone .

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Ndugu Martha Mlata.
 Mbunge wa Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza machache kwenye mkutano wa kumtambulisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli nje ya ofisi za CCM mkoa wa Singida, Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Singida mjini nje ya ofisi za Chama cha Mapinduzi mkoa.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ikungi waliomsimamisha njiani wakati akirejea Dodoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Shelui Singida.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Manyoni waliokusanyika nje ya Ofisi ya CCM wilaya kwa ajili ya kumpokea na kumsalimu mgombea wao ambaye alikuwa njiani kurudi Dodoma.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.