Sunday, July 19, 2015

MAGUFULI AWEKA HISTORIA KATORO APOKELEWA NA MAELFU CHATO

  • Wananchi wasimamisha msafara wake kila wakati
  • Wabunge na Viongozi wa CCM wamuunga mkono
  • Kuongea na wananchi mengi wakati wa kampeni
  • Awaambia Ilani ya uchaguzi ya CCM imesheheni mambo ya msingi na atawajibika kuyatekeleza.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita akiwa njiani kueleka Chato.
 Mgombea wa Urais Dk. John Pombe Magufuli akiwashukuru wananji wa Katoro kwa kujitokeza kwa wingi na kuwaahidi kurudi tena wakati wa kampeni na kuzungumza yale yaliyopo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM.

 Umati wa wakazi wa Katoro ukimsikiliza mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.


 Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhe. Lolesia Bukwimba akiwasalimia wakazi wa Katoro wakati wa kumtambulisha mgombea Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 DK. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Katoro.

 Umati wa wakazi wa Katoro ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dk.John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa mji mdogo wa Katoro .CHATO


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Chato wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa stendi ya zamani.
 Bango lenye ujumbe madhubuti.
 Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu akiwasalimu wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kumtambulisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCm (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimu wananchi wa Chato wakati wa mkutano wa kumtambulisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa stendi ya zamani ya Chato,mkoani Geita.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Musukuma akiwasalimu wakazi wa Chato kabla ya kumkaribisha mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kuwasalimu,kujitambulisha na kuwashukuru wananchi kwa kipindi cha miaka ya 20 aliyoitumikia kama Mbunge.
 Mbunge wa Buchosa Dk.Charles Tizeba akiwasalimu wananchi wa Chato wakati wa kumtambulisha mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli (katikati) kwa wananchi wa Chato, Kulia ni mbunge wa viti maalumu mkoa wa Geita Mhe. Vicky Kamata.
 Mhe.Vick Kamata mbunge wa viti maalumu mkoa wa Geita akisalimu wakazi wa Chato wakati wa kumtambulisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Richard Ndasa mbunge wa jimbo la Sumve akimpa mkono wa heri mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye kutano wa kumtambulisha kwa wananchi wa Chato.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kumtambulisha kama mgombea wa Urais na kuwaaga kwa kuwatumikia kwa miaka 20 ya ubunge.

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Chato mara baada ya kumaliza mkutano wa kujitambulisha wananchi wa Chato.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.