Monday, July 20, 2015

MAGUFULI AWAAGA RASMI WAKAZI WA MJI MDOGO WA MGANZA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kata ya Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa kata ya Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Nyisanzi wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa kata ya Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais wa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Nyisanzi ambapo aliwashukuru kwa muda wote aliowatumikia kama mbunge kwa miaka 20.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa kijiji cha Nyisanzi akiwa njiani kuelekea Mganza.
 Msafara wa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye kata ya Mganza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mji mdogo wa  Mganza
 Umati wa wakazi wa mji mdogo wa Mganza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM aliwashukuru na kuwaaga kwa miaka 20 aliowatumikia kama Mbunge wao na kuwataka wananchi wachague Mbunge mchapakazi kama yeye.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimu wakazi wa mji mdogo wa Mganza kabla ya kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kushukuru na kuwaaga wananchi hao.
 Mgombea wa Urais kwatiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dk.john Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Mganza kwenye mkutano wa kuwaaga baada ya miaka 20 ya kuwatumikia kama Mbunge wao.
 Wakazi wa mji mdogo wa Mganza wakimsikiliza mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli wakati wa kuwaaga baada ya kuwatumikia kama mbunge wao kwa miaka 20. Umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Magufuli kwenye mji mdogo wa Mganza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa kata ya Mganza ambapo aliwaaga rasmi baada ya kuwatumikia kwa miaka 20 kama mbunge wao.
 Wananchi wanaorudisha kadi zao za vyama vya upinzani wakiandikisha majina yao kwa mmoja wa viongozi wa CCM kata ya Mganzo.
 Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi kutoka kwa wanachama wa vyama vya upinzani ambapo zaidi ya wanachama 150 walirudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM akiwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwaaga rasmi baada ya kuwatumikia kama mbunge wao kwa miaka 20

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.