Saturday, July 18, 2015

MADAKTARI WA KICHINA WASALIMIANA NA RAIS IKULU


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Xu Zhuogun (kushoto) Kiongozi wa Ujumbe wa madaktari wapya wa Kichina  waliofika Ikulu mjini Zanzibar kusalimiana na Rais (katikati) Balozi wa China nchini Tanzania Xie Yunliang,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa madaktari wapya wa Kichina  waliofika Ikulu mjini Zanzibar kusalimiana na Rais(wa pili kulia) Balozi wa China nchini Tanzania Xie Yunliang,akifuatiwa na Kiongozi wa Ujumbe huo  Dr.Xu Zhuogun, [Picha na Ikulu.]


Baadhi ya Madaktari wa Kichina waliofika ikulu mjini Zanzibar  kuonana na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein madaktari hawa watakuwepo nchini kushirikiana na madaktari wazalendo kutoa huduma katika Hospitali mbali mbali Unguja na Pemba,[Picha na Ikulu.]Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.