Friday, July 10, 2015

KAMANDA WA JIMBO LA CHUMBUNI AFUTURISHA WANANCHI WA JIMBO LAKE


Kamanda wa Jimbo la Chumbuni UVCCM Ndg Ussi Salum Pondeza Hanjad akikaribisha wageni wake katika futari aliowaandalia Wananchi wa Chumbuni ikiwa ni kawaida yake kila mwaka hujumuika na Wananchi hao katika futari katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
Wananchi wa Chumbuni wakijumuka katika futari ilioandakliwa na Kamanda Hamjad katika viwanja tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar.
                Wananchi wakijumuika katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao.


Mzee wa Chumbuni akitowa shukrani wakati wa hafla hiyo ya futari ilioandaliwa na Kamanda wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza.
                 Mzee wa Muembemakumbi akisoma dua baada ya hafla hiyo ya futari.Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.