GEITA YASIMAMA MAPOKEZI YA MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Joseph Magufuli akipata mapokezi ya aina yake wakati akiwasili mkoni Geita.
 Wananchi wakiwa wamefurika kumpokea mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli wakati akiwasili mkoani Geita.
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Geita wakati akiwasili mkoani hapo
 Mgobea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Geita
 Mke wa mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Janet Magufuli akiwaslimu wakazi wa Geita waliofurika njea ya Ofisi ya CCM mkoa wa Geita kuja kumpokea Dk.John Pombe Magufuli.