Tuesday, July 7, 2015

DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia dua Iliyoombwa baada ya Swala ya Magharibi wakati walipoalikwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao alipowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
 Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]
 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (katikati)  akiwa na Viongozi katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya futari aliyowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (kulia)  akisalimiana na Akina mama  na Viongozi Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibadilishana  mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheir (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Juma Kassim Tindwa (wa Pili kulia) na Msahuri wa Rais Uwezeshaji Kiuchumi Abrahman Mwinyi Jumbe baada ya futari aliyowaalika  Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.