Monday, June 1, 2015

PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA MAREKANI, APOKEA GARI LA WAGONJWA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya  Sayed Corporation Limited  kwa ajili ya hospitali ya  Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Masood  ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es slaam .
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani, Ofisi kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje,Liberata Mulamula
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikikiano wa Kimataifa, Liberata Mulamula.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.