Thursday, June 18, 2015

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU AFUNGUA MKUTANO WA WENYEVITI DAR ES SALAAM

 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto) akifungua Mkutano wa wenyeviti , wenezi na wachumi wa matawi kilichofanyika kwa Jimi Agent Yombo Buza Dar es Salaam,   kuanzia kulia ni Katibu mwenezi Kata ya Miburani  Ally Kamtande,  Mwenyekiti Kata Kibondemaji Mbagala Mustafa Hakika na Mwenyekiti WA Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke Ahamad Mnamalla
 Sehemu ya wanachama wa Chama hicho
Katibu wa Mbunge Jimbo la Temeke  Abbas Mtemvu  Ally Meala kulia akiteta jambo na Katibu wa Uchumi wa Fedha wa Jimbo la Temeke Hussein Simba wakati wa Mbunge huyo wa temeke alipokuwa akifungua  Mkutano huo.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.