Saturday, June 27, 2015

KINANA, NAPE WA ASHIRIKI JOGGING NA VIJANA WA MWANZA ASUBUHI HII, LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakiongoza mazoezi ya Jogging, yaliyoandaliwa na Vijana mkoani Mwanza leo asubuhi, kwa lengo la kujenga mwili na kukuza mshikamano miongoni mwa vijana hao. Kinana na Nape wapo mkoani humo katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama.

 Jogging ikiendelea
Pius Ntiga wa Uhuru FM ambaye yupo katika ziara ya Kinana mkoani Mwanza akitokwa kijasho chembamba wakati wa Jogging hiyo
 Vijana wakifanya amsha amsha wakati wa Jogging hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Konisaga akiwa kwenye Jogging hiyo
 Washiriki wa Jogging hiyo wakiwa katika ushiriki
 Baadhi ya wananchi wakiwa wametoka kutazama Jogging hiyomtaani jijini Mwanza
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwashukuru Vijana kwa kumshirikisha katika Jogging hiyo, ilipomalizika katika eneo la stendi ya Daladala baada ya kuanzia New Mwanza Hotel. Picha zote na Bashir Nkoromo na Adam Mzee
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.