Wednesday, June 3, 2015

KINANA KUANZA KESHO ZIARA YA SIKU 28 KATIKA MIKOA YA KAGERA,GEITA NA MWANZA

  • Itakuwa hitimisho la ziara za kila jimbo nchi nzima
  • Ataanza ziara tarehe 4 Juni na basi maalum
  • Atasimama Morogoro,Dodoma,Singida ,Nzega na Kahama atasalimia wanachama
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na Mwanza itakayoanza tarehe 4 June.
Ziara za Katibu Mkuu wa CCM zina lengo la kujenga na kuimarisha chama, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguziya CCM.
 Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea mkoani Kagera.

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.