Friday, June 5, 2015

KINANA AENDELEA NA SAFARI YA KUELEKEA MKOANI KAGERA AWASALIMIA WANANCHI DODOMA,SINGIDA, NZEGA NA KAHAMA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na wananchi kwenye kituo cha basi Dodoma mjini.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Dodoma waliojitokeza kumpokea kwenye kituo cha basi mjni hapo wakati wa safari yake ya kuelekea mkoani Kagera kwa basi .

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Katibu wa CCM mkoa wa Singida Mary Chatanda.
 Katibu Mkuu akihutubia wakazi waliojitokeza kumpokea mkoani Singida, nje ya ofisi ya chama ya mkoa.


 Wananchi wa Singida wakiagana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye anaendelea na safari yake kuelekea mkoani Kagera .


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nzegawaliojitokeza kumpokea akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPAShare:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.