Tuesday, June 23, 2015

KINANA ACHANJA MBUGA JIMBO LA MISUNGWI LEO, ASHIRIKI KUPALILIA SHAMBA LA DENGU, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO WAKE WA HADHARA WA MISUNGWI MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akishiriki kupalilia katika shamba la dengu la mwanakijiji cha Manawa, Kata ya Misasi, Luhoyo Mwilima (Wanne kulia), akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo.
 Maria Paulo, akicharaza ngoma, wakati kikundi cha ngoma cha Kijiji cha Manawa, kilipotumbuiza, kumlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye Uwanja wa michezo wa Kijiji hicho kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo.
Mmoja wa wanavikundi vya burudani, akicheza huku akiwa ameshika mhindi, kuashiria kijiji hicho kuhitaji chakula kutokana na kukabiliwa na njaa, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili katika kijiji hicho Kata ya Misas, kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo.Baadaye Kinana aliitaka serikali kuhakikisha wananchi wa kijiji hicho wanapatiwa chakula cha msaada mapema iwezekanavyo ambapo Mkuu wa wilaya hiyo alisema, kieshawasili.
 Kadi ambazo waligawiwa wanachama wapya waiojiunga na CCM wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana auliofanyika katika Kijiji cha Manawa, kata ya Misasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika katika Kijiji hicho leo
 Maelfu ya wananchi wa Kata ya Misasi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Manawa kwenye Kata hiyo leo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkaoni Mwanza.
 Diwani wa Kata ya Misasi katika jimbo la Msungwi, Khalid Mbilazya, akijinasibu alivyoshiriki kutekeleza ilani ya CCM, baada ya kuitwa jukwaani na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, katika Mkutano wake wa hadhara aliofanya katika Kijiji hicho akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo
 Katibu Mkuu wa CCM akihutubia mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akisindikizwa kwa ngoma ya Sungusungu, alipokuwa akienda kuzindua Ofisi ya CCM na kuzungumza na wananchi katika Kijiji cha Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akisindikizwa kwa ngoma ya Sungusungu, alipokuwa akienda kuzindua Ofisi ya CCM na kuzungumza na wananchi katika Kijiji cha Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
 Wananchi wa Kijiji hicho wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM alipowasili kwa ajili ya kuzindua Ofisi ya CCM na kuzungumza na wananchi leo. Wapili kushoto ni Mbunge wa Misungwi, Dk. Charles Kitwanga
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misgungwi mkoani Mwanza leo
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifungua jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Kijiji cha Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misgungwi mkoani Mwanza leo. Baadaye Kinana aliwataka, kuitumia ofisi hiyo kama kitgauchumi.
 Vijana wakiwa na bangola kumpigia debe mbunge wa jimbo a Misungwi Charles Kitwanga, wakati Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipowasili katika Soko la Mahando kukagua shughuli za Kinamama wajasiriamali, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo hilomkoani Mwanza leo

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisindikizwa na Kinamama wajasriamali wa eneo hilo kwenda kuzungumza nalo katika eneo la shughuli zao leo
 Katibu Mkuu wa CCM, abdulrahman Kinana akikatiza Sokoni, wakati akienda kuzungumza na Kinamama wajasiriamali katika soko hilo,la Mahando akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na risala ya Kinamama wajasriamali hao, baada ya kukutana nao katika banda la mamalishe la mmoja wa wajasiriamali hao, Bertha Julius (kulia)
 Bendi ya muziki wa dansi ikitumuiza katika Uwanja wa michezo katika Kata ya  Mahando, kumlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye Uwanja huo kuhutubia Mkutano wa hadhara, leo
 Uwanja ukilipuka kwa nderemo na vifijo, kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye uwanja wa Michezo wa Kata ya Mahando, kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
 Uwanja ukilipuka kwa nderemo na vifijo, kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye uwanja wa Michezo wa Kata ya Mahando, kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
 Mbunge wa Misungwi Charles Kitwanga (kulia juu) akiwasalimia wananchi wakati wa mkutano huo, baada ya kuitwa jukwaani na Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu kufanya hivyo.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika kweneye Uwanja wa michezo wa Kata ya Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika kwenye Uwanja wa michezo wa Kata ya Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara  uliofanyika kwenye Uwanja wa michezo wa Kata ya Mahando, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijadili jambo na Katibu wa CCM mkoawa Mwanza, Miraji Mtaturu wakati wa mkutano huo wa Kinana uliofanyika katika kata ya Mahambo jimbo la Misungwi mkoani Mwanza leo. (Picha na Bashir Nkoromo na Adam Mzee-CCM Blog
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.