Wednesday, May 20, 2015

NAPE AWATAKA VIJANA KUJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA


 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akitoa maelezo ya taarifa zake muhimu wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa Afisa Mwandikishaji Msaidizi Shaibu Chitala kwenye shule ya msingi Mbagala  Majengo B,jimbo la Mtama mkoani Lindi.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akichukuliwa alama za vidole wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye shule ya msingi Mbagala  Majengo B,jimbo la Mtama mkoani Lindi
 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akipigwa picha na mwendeshaji wa mashine ya  wa BVR Mzee Mohamed   wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye shule ya msingi Mbagala Majengo B,jimbo la Mtama mkoani Lindi.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitia saini wakati wa kukamilisha taratibu za kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ,Mtama mkoani Lindi.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha kadi yake mpya ya kupiga kura mara baada ya kumaliza kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura Majengo B, Mtama mkoani Lindi.
Picha na Adam Mzee

 Wananchi wa kitongoji cha Dodoma B,kijiji cha Majengo B wakiwa kwenye foleni ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Mkazi wa kijiji cha Majengo B,Mtama mkoani Lindi ,akipigwa picha kukamilisha taratibu za kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.