MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU UNAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, KISA URAIS 2015Mwigulu Mchemba akiagana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mara baada ya kutangaza kujiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) .