MVUA ZAACHA BAADHI YA FAMILIA BILA NYUMBA DAR

Baadhi ya nyumba zilizojegwa karibu na mkondo wa mto Mbezi, katika eneo la Kawe, Dar es Salaam, zimebomoka kufuatia mto huo kufurika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Picha hii imepigwa leo asubuhi. (Picha na Bashir Nkoromo)