Sunday, May 31, 2015

GABRIEL MUNASA AONESHA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE


  • Jogging zawaweka wananchi wa Kawe pamoja
  • Watumia mazoezi kama njia ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya
  • Kuhamasisha vijana wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
  • Makundi zaidi ya 20 yashiriki.
 Vijana wa Kawe wakishiriki Jogging.
 Gabriel Munasa (mwenye kaptura ya pink) akishiriki jogging pamoja na vijana wa Kawe,kushoto kwake ni Elias Nawera.

 Bendera ya Taifa ikiwa juu kuashiria kuhitimisha kwa mchakamchaka huo ambao mgeni rasmi alikuwa Gabriel Munasa.
 Gabriel Munasa akishiriki mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya michezo vya Kawe. Gabriel Munasa akiongea na vyombo vya habari ambapo alielezea lengo na madhumuni ya kuwasaidia vijana kupitia vikundi vya jogging na pia alitumia fursa hiyo kuwaeleza nia yake ya kugombea ubunge kwa jimbo la Kawe na kama litagawanywa atagombea jimbo la Bunju.


Burudani baada ya mazoezi.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.