DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA NEC YA CCM MJINI DODOMA LO


 Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Dk. Seif Ali Idi  na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Ali Vuai Ali.
ZIFUATAZO CHINI NI WAJUMBE MBALIMBALI KATIKA KIKAO HICH