Wednesday, April 29, 2015

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI, BILL CLINTON JIJINI DAR ES ASALAAM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiliwa na Taasisi za Clinton Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.