LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 14, 2015

WANAFUNZI WA CARMAN AINSWORTH HIGH SCHOOL WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.



 Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya kuonana na Mhe.Balozi Liberata Mulamula.
                      Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Mhe, Balozi Leberata Mulamula.
                             Mhe, Balozi Liberata Mulamula akitoa historia fupi ya Tanzania.

                      Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwashukuru wageni wake kwa kuchagua ubalozi wa Tanzania kama sehemu mojawapo ya ziara yao hapa mjini Washington DC.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages