Saturday, April 25, 2015

UFUNGUZI WA JENGO LA AFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia File la familia yake wakati alipotembelea chumba cha kuhifadhia mafaili mbali mbali ya wananchi walioomba Passpoti za uraia wa Tanzania baada ya kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani PerereA,Silima  [Picha na Ikulu].
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza jambo kwa Asistance Inspekta Khamis Ali Haji (wa pili kulia) wakati alipokuwa akiangalia File la familia yake   alipotembelea chumba cha kuhifadhia mafaili mbali mbali ya wananchi walioomba Passpoti za uraia wa Tanzania baada ya kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,[Picha na Ikulu].
 Jengo jipya la Afisi Kuu ya Uhamiaji liliopoKilimani Mjini Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika kudhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
[Picha na Ikulu].

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed (kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani PerereA,Silima,Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari Masoud Sururu (kushoto)na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Tanzania Sylvester Ambokile wakifuatilia kwa makini harakati za shamra shamra za Sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Maafisa mbali mbali wa Uhamiaji wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,[Picha na Ikulu.]

Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.