Wednesday, April 29, 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA MABALOZI NA WANANCHI KUIFARIJI FAMILIA YA MAREHEM BRIGEDIA MBITA

Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo, alipofika kutoa pole na kwa familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita, Chang'ombe, Temeke Dar es salaam.
 Enzi za uhai wake marehemu Brigedia Jenerali Mbita 
  Mkuu wa Wilaya Temeke Sophia Mjema(kulia) akisalimiana na aliyekuwa Meneja Mkuu wa Polisi kitengo cha  Traffic  Shirika la Reli Tanzania Khalid Mtwangi alipofika Nyumbani kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mbita (katikati) ni Mkuu wa  Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki
Mkuu wa Wilaya Temeke Sophia Mjema(kulia) akisalimiana na mtoto wa marehemu Mbita Hashim  Nyumbani kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mbita (katikati kulia) ni Mkuu wa  Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisalimiana na wana familia.
Balozi wa Zambia Nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kulia)  akimfariji Mjane wa Marehemu  Brigedia Jenerali  Mbita, Ngeme Mbita
Balozi wa Zimbabwe Nchini Tanzania Edzai Chimoyo (kushoto)  akizungumza na  Mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Selemani Msuya (kulia) na katikati ni balozi wa Namibia nchini Tanzania Japhet Isaack.  
Baadhi ya Mabalozi wa Nchi Mbalimbali Nchini Tanzania wakiwasili jana Nyumbani kwa Marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita.
Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Edzai Chimoyo akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita kulia ni Balozi mstaafu Saleh Tambe
Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Edzai Chimoyo akimfariji mjane wa marehemu Hashim Mbita katikati ni mtoto wa marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita Shella Mbita
Balozi wa Namibia nchini Tanzania Japhet Isaack akimfariji Mjane wa marehemu  Brigedia Jenerali Hashim Mbita katikati ni mtoto wa marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita Shella Mbita
Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Stephen Thema akisaini kitabu cha maombolezo
Baadhi ya ndugu na waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu  Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bernard  Membe akisaini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Balozi Mstaafu Jaafari Msolomi akizungumza na Familia ya Marehemu  Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bernard  Membe akiifariji familia ya  marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bernard  Membe akiifariki familia ya marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Kiongozi wa Chama  ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiifariji familia ya Brigedia Jenerali Hashim Mbita alipofika nyumbani kwa marehemhu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bernard  Membe akiwa anaingia nyumbani kwa Brigedia Jenerali Hashim Mbita akisindikizwa na Mkuu wa Wilaya  Sophia Mjema(kulia)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bernard  Membe akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Edzai Chimoyo, mara walipokutana katika nyumbani kwa Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Balozi Mstaafu Jaafari Msolomi akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita kulia ni Mwalimu  mstaafu  Ziara Msolomi 
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.