KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI JIJINI DAR ES SALAAM


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa China nchini LU Youqing walipokutana kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM jijini Dar Es Salaam.