Saturday, April 11, 2015

KAYA 25 ZILIZOATHIRIWA NA KIMBUNGA CHA UPEPO MKALI KILICHOAMBATANA NA MVUA ZAPEWA MSAADA
Timu ya watumishi wa jiji la Mbeya ikikabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali  kwa wahanga wa mafuriko katika Mtaa wa Mwanyanje Kata ya Igawilo jijini Mbeya ukiwa na thamani ya shilingi Milioni 1.5


Diwani wa kata ya Igawilo Ndugu Chifoda Fungo na Naibu Meya wa jiji la Mbeya  akizungumza na wakazi wa mtaa huo ambao nyumba zao ziliezuliwa na upepo mkali uliombata na Mvua mwishoni mwa wiki ambapo nyumba zaidi ya 25 ziliezuriwa na Mvua hiyoWahanga wakisubiri kupatiwa msaada na uongozi wa jiji la Mbeya mara baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na Mvua mwishoni mwa wiki.Picha na  David Nyembe fahari News
 

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.