BALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NA BALOZI WA UINGEREZA WAFANYA MAZUNGUMZO NA KINANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Afrika Kusini nchini Mheshimiwa Thamsanqa Mseleku ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Mheshimiwa Dianna Melrose ofisini kwake jijini Dar es Salaam