Tuesday, March 3, 2015

SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA DAR


 Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.
 Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo.  
 Ofisa Miradi wa Shirika hilo, Rojas Rwanda (kushoto), akisalimia wakati wa utambulisho.
 Baadhi ya wadau wa shirika hilo wakiwa kwenye uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo.
 wadau wa shirika hilo wakiwa kwenye uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo.

Hapa mkutano ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa ya uzinduzi huo.
 Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (wa tatu mbele), akiwa na viongozi wengine waliohudhuria uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mwezeshaji, Junaither Abdul, Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema, Mwenyekiti wa Shirika hilo Fredy Kaula, Mwakilishi kutoka Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu, Isaak Idam na Mwalimu Angelina Mtwale kutoka Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko.
(Imeandaliwa na theNkoromo Blog)

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.