Monday, March 9, 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 MOROGORO Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani  iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
 Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood 
 Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa dini mkoa wa Morogoro
 Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez
 Sehemu ya umati uliofurika uwanjani hapo
 Rais Kikwete akiwa meza kuu. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro na Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk Rajab Rutengwe, Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez
 Bendi ya Jeshi la Polisi likiongoza maandamano makubwa ya wanawake yakiingia uwanjani
 Rais Kikwete na Meza kuu ikipokea maandamano hayo
 Maandamano
 Kinamama wakisherehekea siku yao
 Rais Kikwete akipungia maandamano
 TTCL wamependeza na miavuli yao
 Benki ya postaShare:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.