Thursday, March 26, 2015

MKUTANO MKUBWA WA HADHARA WAAHIRISHWA KUTOKANA NA MVUA MKUBWA KUNYESHA


 Wananchi wakisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa mkutano stendi bila kujali mvua iliyokuwa inanyesha.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dk. David Mathayo David(kushoto)  na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Idd Juma kabla ya kuamua kuahirisha mkutano kutokana na mvua kubwa
 Wananchi wakishangilia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana bila kujali mvua.
 Baadhi ya wananchi wakiwa wamejifunika na turubai
 Wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitangaza kuahirisha mkutano na kuahidi kurudi tena kuhutubia wananchi hao siku ingine.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwatangazia wananchi wa Same kuahirishwa kwa mkutano kutokana na mvua kubwa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaaga wananchi wa Same baada ya mvua kubwa kusababisha kushindwa kufanyika kwa mkutano wa hadhara.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.