Tuesday, March 3, 2015

KINANA AWASILI MKOANI RUVUMA KUSHIRIKI MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege Songea mjini ambapo Katibu Mkuu wa CCM atashiriki mazishi ya Kapteni John Komba yatakayofanyika Lituhi leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Songea .
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakisalimiana na viongozi wa CCM mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili mjini hapo tayari kwa safari ya kwenda kushiriki mazishi ya Kada mahili na Mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damian Komba.

Khadija Kopa akiwasili mjini Songea tayari kushiriki mazishi ya Mkurugenzi wa kundi la Sanaa TOT, Kada wa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Komba.

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.