Monday, March 23, 2015

KINANA AKUTANA NA WAZIRI WA ZAMANI WILAYANI HAI

Mzee Israel Elly Nawinga akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana nyumbani kwake katika kijiji cha Masama Losaa,Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi pamoja na kukagua na kusimamia ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2010.
Mzee Mwawinga alishawahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje pamoja na Waziri wa Elimu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mzee Israel Elly Mawinga
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.