Friday, March 20, 2015

KINANA AITIKISA ARUSHA KUHUTUBIA WANANCHI WA ARUSHA MJINI KESHO KATIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali wakila chakula kwa Mama Lishe wa soko la Kilombero,jijini Arusha.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wa wananchi  baada ya kuzindua shina la kikundi cha wajasiriamali Oysterbay  Unga Ltd.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakinywa kahawa mara baada ya kumaliza kuwasalimu na kuzindua shina la wakereketwa wajasiriamali Oysterbay, Unga ltd, Arusha.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na viongozi wengine wa CCM kuelekea kwenye soko la Kilombero,jijini Arusha.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wanananchi wakati akiwasili kwenye soko la Kilombero lililopo jijini Arusha.
Wananchi na wafanya biashara wa soko la Kilombero ,jijini Arusha wakimpa mikono Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana 
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.