Friday, February 27, 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIZISHWA NA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA( MMAM) MBEYA VIJIJINIWaziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi katika Zahanati ya Kijiji cha Kimondo Kata ya Igoma Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya katika moja miradi ambayo Waziri Mkuu ametembelea katika ziara yake Mkoani Mbeya Feb 26 Mwaka huu.

Nyumba za watumishi katika zahanati hiyo ya  kijiji cha kimondo Kata ya Igoma Halmashauri ya Mbeya vijijini ambapo nyumba hizo zinauwezo wa kuishi familia 2 ambapo mradi huo kwa ujumla unatalajiwa kugahrimu zaidi ya shilingi mil74 huku serikali kuu ichangia shilingi mil 51.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kimondo Kata ya Igoma Halmashauri ya Mbeya vijijini mara baada ya kukamilisha zoezi la uwekaji wa jiwe la msangi katika zahanati ya kijiji hicho feb 26 mwaka huu.

Mkurugenzi Halmashauri ya Mbeya vijijini Ndugu Upendo Sanga akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa eneo la tukio kuhakikisha ulinzi unaimalika .
Wananchi wakifatilia hotuba ya Mheshimiwa Wazri Mkuu Mizengo Pinda .


Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.