Wednesday, February 18, 2015

WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI WA MFUKO WA KUWAENZI WAASISI WA TAIFA WAKUTANA NA DK.SHEIN


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiongoza Ujumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa leo,[Picha na Ikulu.]
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani (aliyesimama) akisoma taarifa ya wajumbe wa   Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa wakati wajumbe walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi (wengine) Mwenyekiti Vikabenga Nsa Kaisi (wa pili kushoto) na Aisha Ali Karume Mjumbe (kushoto),[Picha na Ikulu.]
Miongoni mwa wajumbe wa   Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa walipofika kuzungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo asubuhi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  (kutoka kulia)  Aisha Ali Karume na Asha Kombo Haji na Rase-Mary J.Nyerere,[Picha na Ikulu.]
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.