TAARIFA KWA UMMA: KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.