Monday, February 9, 2015

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam (Picha na Adam Mzee)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na  Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam(Picha na Adam Mzee)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.