Monday, January 5, 2015

UZINDUZI WA SOKO LA SAMAKI NA MBOGA MBOGA TUMBE PEMBA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Kassim Gharib Juma baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga wakati alipotembelea sehemu za Soko hilo leo  ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa kwanza kushoto) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis na Mkurugenzi Idara ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia sehemu ya kufanyia minada katika Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba leo baada ya kulizindua rasmi ,ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga leo uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe  alipofika kuangalia jenereta katika soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba baada ya kuzindua  Soko hilo leo  ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe  akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za soko hilo katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.