TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya Chama ,Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam.