Sunday, January 11, 2015

KINANA AWAPONGEZA CCM ILALA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu mara baada ya kuwasili kwenye eneo la mkutano ambapo mkutano huo maalum ni wa kuwashukuru wapiga kura walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uiofanyika desemba 2015.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wajimbo la ilalal waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa Ilala kwa kuipigia CCM na kushinda kwa asilimia 75.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia kwa msisitizo ambapo aliwaambia watu kuwa muda wa CCM kulea lea watu umekwisha na taratibu za kimaaadili .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi za waliokuwa wanachama wa Chadema ambao wameamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amezungukwa na wanafunzi wa vyuo vikuuu ambao wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi.

Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu akihutubia wakazi wa Ilala kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Msimbazi Center,ambapo aliweza kuelezea kilio chao cha kuvunjiwa biashara na mgambo ni kilio chake na kuitaka serikali kuchukua hatua stahiki ili kuwapa fursa kuwa huru kufanya biashara bila kubughuziwa.
Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.