Friday, January 16, 2015

KINANA AWAPA MATUMAINI WANA CCM WILAYA YA AMANI ZANZIBAR

  • Awaambia washikamane kudumisha umoja
  • Awaambia unyonge hautakiwi kwa wana CCM
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae  (CCM)Salim Hassan Abdullah Turky wakati wa mapokezi katika wilaya ya Amani Zanzibar ikiwa sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu kukagua utekelezaji wa ilani na uhai wa Chama katika visiwa vya Unguja na Pemba.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Wana CCM wa jimbo la Mpendae kuelekea kwenye ofisi ya Jimbo ambapo alizindua ukumbi wa mikutano.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na Mwanasiasa mkongwe Zanzibar Salum Msabaha Mbarouk.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi madawa kwa daktari wa kituo cha Afya cha Mpendae Dk.Omari Shaaban Zaharan.


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kusambaza kifusi katika barabara iliyotoka Hospitali ya jimbo mpaka barabara Kuu ya kwa Mchina mwisho.


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma jiwe la msingi la ufunguzi wa Tawi la CCM Nyerere 'B', jimbo la Mpendae Zanzibar.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kama ishara ya kufungua ofisi ya tawi la CCM Nyerere 'B'
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria ufunguzi wa ofisi ya CCM Tawi la Kilimahewa Juu ambalo lilichomwa moto na wafuasi wa Uamsho Juni 2013.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma jiwe la msingi la ufunguzi wa ofisi ya CCM Tawi la Kilimahewa Juu mara baada ya kukata utepe kama ishara ya kulifungua.
 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la Kilimahewa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kufungua ofisi yao mpya baada  ile ya awali kuchomwa moto na kundi la uamsho mwaka 2013.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wanachama wa Tawi la Kilimahewa Juu mara baada ya kufungua ofisi zao mpya .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakizungumza na wana CCM wa tawi la Mpendae na kuaambia wana CCM kusimama Imara na kuacha uwoga katika kutetea na kulinda maslahi ya Chama chao.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchapa lipu ofisi ya CCM Tawi la Kiungani jimbo la Chumbuni.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakishiriki kutandaza mabomba ya maji safi na salama Sebuleni kwa Wazee jimbo la Amani
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakifukia mitaro baada ya kumaliza zoezi la kutandaza mabomba ya maji safi na salama Sebuleni kwa Wazee jimbo la Amani.
 Jengo la Ofisi ya CCM Wilaya ya Amani
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakishuka kwenye ngazi baada ya kumaliza kukagua ofisi za CCM wilaya ya Amani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kianana akishiriki kuchanganya zege ikiwa sehemu ya kukamilisha kamilisha ujenzi wa ofisi ya chama wilaya ya Amani.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.